1.Portfolio.
Ni muhimu kuona na kujua project zipi zimetengenezwa.Hii ni moja ya njia bora ya kutambua kama kazi yako itaweza kufanyika kwa ufanisi na ubora.Omba upewe link ya Apps
walizotengeneza kisha ndio ufanye uamuzi.
2.Gharama.
Usiruhusu bei ikuendeshe,Linapokuja suala la utengenezaji wa software ni muhimu upate product nzuri itakayodumu na sio product yoyote rahisi utakayoimudu.Angalia ubora na utaalamu wa kazi zilizopita kisha uamue kama gharama ni sahihi. kwa developer wa mobile app na website
Kabla ya kuanza kazi na kampuni/developer hakikisha unapewa mkataba wa kazi kisha upitie na Mwanasheria wako,Pia omba nyaraka muhimu kama Leseni ya biashara na usajili wao kwa ujumla ili uwe na uhakika na developer wa mobile app na website Tanzania
5.Mawasiliano.
Wakati wa kazi imeanza mawasiliano ni kitu kikuu,uliza ni namna gani mtaweza kuwasiliana ili kupata updates za kazi inayoendlea.Je wanijibu SMS/Email,Simu kwa haraka?,Huduma yao kwa wateja kiujumla ipo vipi?
6.Aina ya Software
Ni vizuri kuulilza na kupata majibu wana uwezo wa kutengeneza software za aina gani mfano kama wana uwezo wa kutengeneza Android app, iOS app na Web app,kwa baadae
itapunguza gharama hutoenda kutafuta developer kwingine.